Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Happy Birthday Angelique.... Namkubali sanaLeo katika Historia:
1960 - Angelique Kidjo. Mwimbaji mashuhuri toka nchini Benin anazaliwa.
Happy Birthday Angelique.... Namkubali sanaLeo katika Historia:
1960 - Angelique Kidjo. Mwimbaji mashuhuri toka nchini Benin anazaliwa.
KwemaNiaje vijana, kwema humu ndani
Wengine wamechaguliwa ki-best loser.Hawa marais wengine wa US hata sio maarufu
Ahsante!!Swadaktaaaaa 70k
Asante sana Mussolin5 sasa kaeni tayari sababu magazeti ya Leo yatawajia hivi punde tu
Wengine wamechaguliwa ki-best loser.
Huyu alichaguliwa baada ya Rais Richard Nixon kujiuzulu kwa kashfa ya Watergate.
![]()
Una machungu na Ureno ww
...........