Makapuku Forum

Habari gani makapuku wenzangu?!
Kuanzia leo mimi ni member sugu na wa kudumu humu kwa makapuku wenzangu.
Mimi Jahlex naapa ya kwamba "nitamatumikia Makapuku kwa moyo wangu wote bila ubaguzi kwa mujibu wa sheria za Makapuku na kuheshimu uongozi uliopo...Eee! Mkuu niongoze.
 
Karibu sana
Jisikie FREE.....kwenye list utaongezwa tu uwe na subira.
Maelekezo yapo post # 3
.............
 
karibu sana mkuu

Cc: Th name
Cc: Jimena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…