shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
NUKUU NO 1# Sote tunajua kwamba Africa si Ufaransa, Uingereza,Marekani au Urusi. Tunajua shabaha ya nchi za magharibi. Jana walitugawa katika ngazi makabila yetu, koo na vijiji kwa kweli wamekuwa wakirenga kutugawa kwa mbinu ya kuibua makundi ya kiuadui miongoni mwetu. Haya yalisemwa na aliyekuwa waziri mkuu wa Congo -Leopoldville(sasa jamuhuli ya kidemokrasia ya Congo DRC),Patrice Emery Lumumba, katika hotuba yake ya Agosti 25,1960, Patrice Lumumba alizaliwa Julai 2,1925 na kuuawawa January 17,1961