Makapuku Forum

Makapuku Forum

56e72aad651a1c766abeefbb78b6800e.jpg
 
NIGHT'S QUOTE :
Unaweza kumuua kapuku(kuifuta thread) lkn siyo fikra zake, Unaweza kumfunga kapuku (kumpiga ban) lkn siyo fikra zake & Unaweza kuuasi ukapuku(hate) lkn moyoni mwako ukapuku utaendelea kuishi milele


USIKU MWEMA KAPUKUZ
 
NUKUU NO 1# Kamwe msisahau kuwa serikali, na sekta ya umma kwa jumla, Sasa si mwajiri mkubwa kama ilivyokuwa zamani. Wanachama wenu wengi sasa watakuwa kwenye sekta binafsi. Na kwa kadri sekta binafsi inavyotwaa majukumu mengi zaidi ya kiuchumi na utoaji wa nafasi za ajira, ndivyo wajibu na kazi za vyama vya wafanyakazi zinavyoongezeka. Jiandaeni vizuri kuubeba mzigo huo, na serikali itawasaidia kwa dhati, haya yalisemwa na Rais wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa, Mei Mosi 2001 wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi jijini Dar es salaam, Mkapa alizaliwa Nov 12,1938 alikuwa Rais wa Tanzania Kati ya 1995 mpaka 2005
Mkapa kumbe ni wa 1938
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom