Makapuku Forum

NUKUU NO 1# Kamwe msisahau kuwa serikali, na sekta ya umma kwa jumla, Sasa si mwajiri mkubwa kama ilivyokuwa zamani. Wanachama wenu wengi sasa watakuwa kwenye sekta binafsi. Na kwa kadri sekta binafsi inavyotwaa majukumu mengi zaidi ya kiuchumi na utoaji wa nafasi za ajira, ndivyo wajibu na kazi za vyama vya wafanyakazi zinavyoongezeka. Jiandaeni vizuri kuubeba mzigo huo, na serikali itawasaidia kwa dhati, haya yalisemwa na Rais wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa, Mei Mosi 2001 wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi jijini Dar es salaam, Mkapa alizaliwa Nov 12,1938 alikuwa Rais wa Tanzania Kati ya 1995 mpaka 2005
 

Mi na kumbuka ile ya wapumbavu na malofa ilibamba sana
................
 
NUKUU NO 2# Tunahitaji program ya miji yetu. Dar es salaam hakuna miundo mbinu ya umma inayojengwa kulingana na ukuaji wake, hakuna ubunifu. Haya yalisemwa na aliyekuwa mgombea urais wa chadema mwaka 2010, Dr wallboard Slaa. Dr Slaa aliwahi kuwa katibu mkuu wa chadema, alizaliwa Oct 29,1948 katika kijiji cha kwermusi, wilaya ya mbulu kaskazini mwa Tanzania
 
Its true maana mtu hawezi kuponda kitu kama hakijui.. hvyo huwa wanakuja hapa makapukuni nakupitia forum yetu then ndo aanze kudiss sasa
Ukiona watu wabakudiss ujue upo juu..... Hawafurahii hii thread kubamba wanaona tumeuharibu Ufalme wao mfano GENTA alikuwa anatamba Chit Chat na vithread vyake uchwara now tumempoteza kabisa na huja hapa mara nyingi kututukana kwa kutumia ID zake zingine na huwa nazijua tangu kitambo ila simpagi kick nauchunaga RU

....................
 
Huyo jamaa na ungabure
huwa wakizidiwa hoja wanaanza kutukana tu
 

Nasikia huyu Padri kanunuliwa na Chama Cha Majipu (CCM)

................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…