Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Thanks my dear, ngekewa tu kama EderHongera sana kwa kuibahatisha
Thanks my dear, ngekewa tu kama EderHongera sana kwa kuibahatisha
Nasikia nakanisa lake limefungiwa usajili![]()
![]()
Ni kweli
Kidpmodomo kitakuja kumtemesha uhai wake
![]()
![]()
![]()
![]()
........
.
Bora lifutwa.....hajawahi kumfufua hata PanziNasikia nakanisa lake limefungiwa usajili
Unastahili pongezi maana niliivizia sana Sema ukanizidi maarifaThanks my dear, ngekewa tu kama Edder
Hiyo habari ndio imenishtua zaidiNasikia nakanisa lake limefungiwa usajili
Kalemii na kasayiTuko poa kabisa, vp huko zaire, goma, lubumbashi?
Dah jana nlikua tight sana, si unajua tena kuna kipindi mkwanja unakua karibu na kuna kipindi unakua mbali kiasi kwamba inabidi utumie MUDA, akili nyingi na uwezo wako wote kuusakanya??Safi kabisa hivi jana ulikuwa wapi??
Kuliko birthday ya mkongwe Everlyn KichumviHiyo habari ndio imenishtua zaidi
Fresh tu kaka, ni jukwaa gan hilo mtu kaiba idea yako?Poa kaka, umeshindaje
Karibu jimix kwanza humu. Kwenye list utawekwa tu.WAPI JINA LANGU, SIJIONI KABISA
Kweli huyo haogeshwi kimahaba!!!Huyu sio youngblood kweli, mbishi kuoga![]()
![]()
![]()

Hii ni kweli kabisaDah jana nlikua tight sana, si unajua tena kuna kipindi mkwanja unakua karibu na kuna kipindi unakua mbali kiasi kwamba inabidi utumie MUDA, akili nyingi na uwezo wako wote kuusakanya??
Hiyo niliiona sema haikuwa na jipyaKuliko birthday ya mkongwe Everlyn Kichumvi
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Mwambie huyo kazoea kwenda Maonyesho ya Sabasaba TU
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Twakumiss pia kaka akeWadau, nawamiss sana aisee
Hiyo niliiona sema haikuwa na jipya
Sasa itabidi siku uende tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hata sabasaba yenyewe sijawahi kwenda rafiki yangu huwa naishia tu kuchek kwenye tv