briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Mhh mbona wengine hawajaoa lakin midomo imejaa maji ka samaki kwenye maji na ni bahili hatari

Mhh mbona wengine hawajaoa lakin midomo imejaa maji ka samaki kwenye maji na ni bahili hatari

Asante kwa huu ujumbe kuna mahala inabidi nikautumie
Dizaini kama utani hivi lakin kuna bonge la ujumbe hapa"If u wake up without a goal ......please go back to sleep"
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi ni kweli wamemkamata huyu jamaa?Asanteni sana, tukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Gwajima.
Bye....
Niaye mutu ya kongo?Leo naona ni birthday ya footballers
Anakumbukwa kwa lipi leo, kuzaliwa, kufa ama nin?View attachment 365531
Kumbukumbu ya Michael
Ujumbe muhimu.....lkn koutani zaidi sijamlenga mtuDizaini kama utani hivi lakin kuna bonge la ujumbe hapa
Hivi ni kweli wamemkamata huyu jamaa?
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Nafsi huru
hassandady
Shemtibuko
sumbai
mabesela
dog 1
aggyjay
Elly_corner
Teacher on duty
willy fredy
PNC 1
jambilo
Powder
Mussolin5
xavia jr
punje haradari
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Huenda,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nahisi imetungwa tu
..................
Pouwa, Tanzanie muko Pouwa???Niaye mutu ya kongo?
SanaaaUmekumbuka far!
Nenda post # 3 kasome maelezo zen uje kujiachia hapa kwa raha zako halafu ndo utawekwa kwenye listWAPI JINA LANGU, SIJIONI KABISA
NimekusomaUjumbe muhimu.....lkn koutani zaidi sijamlenga mtu
..............
Hiyo siku nilibahatika kwenda hapo walipoweka hilo jiwe kama kumbukumbu yake ndo nikaamua kupiga kapichaAnakumbukwa kwa lipi leo, kuzaliwa, kufa ama nin?
sio picha leo, ni summer ya 2015Safi kabisa hivi jana ulikuwa wapi??Habari za mda huu le Family!
Huyu jamaa ana mipasho sijawai ona, yule mmbea kule insta anasubiri![]()
![]()
Ni kweli
Kidpmodomo kitakuja kumtemesha uhai wake
![]()
![]()
![]()
![]()
........
.




