Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Kama si majeraha aliyopata CR7 Yanga tungemchukua kwa dau la Tsh 120,000 ,na mshahara wa 60,000 kwa mwezi kabla ya kukatwa kodi...shikamooni!
Asante!!View attachment 365449View attachment 365450
Mpaka hapa basi nimeshakusanya kila kilichomo changu ili nimpishe Mussolin5 atuletee leo katika historia
Ciao!
Leo katika historia:
1975 - Sao Tome and Principe yapata uhuru wake toka kwa Ureno.
Kwa udhamini wa mzee wa Ufufuooooooooooooo na UzimaaaaaaaaaaAsanteni sana, tukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Gwajima.
Bye....
Bwana mdogo huyoLeo katika Historia:
1995 - Luke Shaw. Beki wa kushoto wa Man Utd anazaliwa.
Leo katika Historia:
1979 - Visiwa vya Kiribati vyapata uhuru wake toka kwa Uingereza.
Leo katika Historia:
1962 - Julio Cesar Chavez. Bondia wa ngumi toka nchini Mexico anazaliwa.
Leo katika Historia:
1973 - Christian Vieri. Mchezaji wa mpira wa Miguu toka nchini Italy anazaliwa.