Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia:
1982 - Antonio Cassano mchzaji wa mpira toka Italy anazaliwa.
Leo katika Historia:
1982 - Antonio Cassano mchzaji wa mpira toka Italy anazaliwa.
Leo katika Historia:
1990 - Bebe. Mchezaji wa mpira toka Ureno anazaliwa.
Leo katika Historia:
1991 - James Rodriguez. Mchezaji wa mpira toka Real Madrid na Colombia anazaliwa.
Leo katika Historia:
1995 - Luke Shaw. Beki wa kushoto wa Man Utd anazaliwa.
Leo usipoleta hadithi ujue fika kuwa mbata zitakuhusuKikofia am here..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Amewahi kufufua nini ?Kwa udhamini wa mzee wa Ufufuooooooooooooo na Uzimaaaaaaaaaa
Waoga acha wawoweSo!!! Watu WASIWOWEE???![]()
![]()
MisukuleAmewahi kufufua nini ?
Kumfufua mende tu kashindwa
![]()
![]()
![]()
![]()
.............

Are you married?Waoga acha wawowe

Haya mawe nimeyakubali.Thanks manNawatakia asubuhi njema wakuu![]()
![]()
Ni kweliSubiri nanihii aje akuquote gazeti zako zote
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Leo naona ni birthday ya footballersAsanteni sana, tukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Gwajima.
Bye....
Kazi inaendaje werrasonLeo naona ni birthday ya footballers
kabisa...leo ni siku yao kwakweli.Leo naona ni birthday ya footballers
Ndio kwanza ana miaka 21.Bwana mdogo huyo
Mungu anasaidia.Kazi inaendaje werrason
