Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Fainali mbovu...
Lubuva jana hakufurukuta....Mlibebwa ila hamkubebeka
Fainali mbovu...
Lubuva jana hakufurukuta....CR7daaaah acha tu kaka Yaliyotukuta ni makubwa
Nakusalimu dadake mimiOyoooooooooooooooooooooooo
Ndio raha kujua kuchagua vitu vya ukweli
Mbona kama Ronaldo wa Mwananchi ana tattoo, au alichorwa alipotolewa nje!?
pamoja.Asante sana Mussolin5
Cha msingi amepeleka kombe nyumbani baaasiMbona kama Ronaldo wa Mwananchi ana tattoo, au alichorwa alipotolewa nje!?
Yeah! Kiroho swaafi!Cha msingi amepeleka kombe nyumbani baaasi