Makapuku Forum

Makapuku Forum

Serikali ya Zanzibar haina wasi wasi na hatari zinazoandikwa na waandishi vibaraka kuhusu Zanzibar, lakini inaendelea na juhudi zake za mipango ya maendeleo kama kawaida. Wale wanaotoa propaganda za namna hiyo hawapendezwi namna Zanzibar inavyofanya maendeleo yake. Hayo yalitamkwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani karume, September 13,1971, ikulu ya Zanzibar, alipotembelewa na wanafunzi wa uandishi wa habari kutoka chuo cha uandishi wa habari Nairobi, Kenya
Karume baba
 
NUKUU NO 2# Kuna mambo mawili ambayo hayana mwisho ;kwanza ni ulimwengu na pili ni upumbavu wa mwanadamu ;na kwa kweli Sina uhakika kuhusu ulimwengu, haya yalitamkwa na mwanafizikia wa kijerumani, Albert Einstein, mwanafizikia huyo alizaliwa March 14,1879 na kufariki Dunia April 18,1955. Ni mshindi wa tuzo ya Nobel katika fizikia,tuzo aliyoipata mwaka 1921
Namkubali sana mwana sayansi huyu
 
Kila mtu anawaza pesa hata maombi yake makubwa kwa mungu ni kupata pesa
Na mungu kawachunia mwisho wa siku wamekimbilia kwa waganga ili wapate utajiri wa haraka wa kishetani
 
NUKUU NO 2# Kuna mambo mawili ambayo hayana mwisho ;kwanza ni ulimwengu na pili ni upumbavu wa mwanadamu ;na kwa kweli Sina uhakika kuhusu ulimwengu, haya yalitamkwa na mwanafizikia wa kijerumani, Albert Einstein, mwanafizikia huyo alizaliwa March 14,1879 na kufariki Dunia April 18,1955. Ni mshindi wa tuzo ya Nobel katika fizikia,tuzo aliyoipata mwaka 1921
c2d4270313d7a8e1ad4b9365605dc1a8.jpg

Kuhusu UPUMBAVU kasema ukweli mtupu MPUMBAVU hana mwisho na kamwe habadiliki
............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom