Mnafiki akipewa pongezi anadhani na wenzie ni wanaa ka yeyeLico ngo unatipongeza kinafiki![]()
...............

GoodmorningGoodmorning family
Goodmorning
hahaha...Mussolin akiona hivi analia sana
Leo katika Historia:
1934 - Giorgio Armani mbunifu wa mavazi toka nchini Italy anazaliwa.
Leo katika Historia:
1975 - Lil Kim. Rapa wa muziki toka nchini Marekani anazaliwa.
Leo katika Historia:
1986 - Raul Garcia. Mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Hispania anazaliwa.