Betting ni kama cancer aisee, unaanza afu baadae inatafuna akili ya kaz taratiiibu.. Nna jamaa yangu mmoja ameshakua addicted mazima anaweza mpaka kukopa akaweka mkeka