Betting ni kama cancer aisee, unaanza afu baadae inatafuna akili ya kaz taratiiibu.. Nna jamaa yangu mmoja ameshakua addicted mazima anaweza mpaka kukopa akaweka mkekaKubet ni ujinga sana, bora uumize akili namna ya kutoka kuliko kamari
We wap mkuu?wale wa pressure sasa
Nina dogo anakazi nzuri tu, lakin kwa bet...yuko addicted sana yaani hawezi achaBetting ni kama cancer aisee, unaanza afu baadae inatafuna akili ya kaz taratiiibu.. Nna jamaa yangu mmoja ameshakua addicted mazima anaweza mpaka kukopa akaweka mkeka
Tuko pamojaHahaaa..na Mimi Leo team france![]()
![]()
Naangalia tuWe wap mkuu?