Nenda kamfuate PMYoungblood usipite kimya
Mi kwanza ulivyosema unauguza nilishtuka kidogo nimwage bapa yangu hapa nlidhani mgonjwa mwenyewe ni manuu hahaKitambo Sana'a,toka nionane na huyo jamaa[emoji85] [emoji85]
Hahaaaa..Mi kwanza ulivyosema unauguza nilishtuka kidogo nimwage bapa yangu hapa nlidhani mgonjwa mwenyewe ni manuu haha
Yupo humu ana like hasemi chochote..bitoz mzima mkuu!Nenda kamfuate PM
............................
Mimi ntakuwa upande wa atakayeshindaHahaaa..na Mimi Leo team france[emoji12] [emoji12]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu we ni vuguvugu, hukai kwa baridi wala motoMimi ntakuwa upande wa atakayeshinda
Sasa ya nini kumtahataja ? Kwani unamlazimisha kuposrtYupo humu ana like hasemi chochote..bitoz mzima mkuu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ntakuwa upande wa atakayeshinda
Punguza ukauzu [emoji23] [emoji23]Sasa ya nini kumtahataja ? Kwani unamlazimisha kuposrt
Kila mtu na mambo yake siyo lazima kutajanatajana
.............
Aisee....!Sasa ya nini kumtahataja ? Kwani unamlazimisha kuposrt
Kila mtu na mambo yake siyo lazima kutajanatajana
.............
Hii ni kanuni ya maisha, usijenge urafiki na looser, tembea na winner ujifunze[emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umetsha shem
Bora umeibuka[emoji23]Aisee....!
Ngoja kwanza niitafute gahawa mkuu.youngblood niaje? nimemiss zile mbembwe zako... Ibuka bas usalimie raia
Mambo vipi brotherBora umeibuka[emoji23]
Niko poa mkuu, acha ukauzu nawe umetukaushia sanaMambo vipi brother
Niambie kwanza upande wako mana usije ukajipendekeza kwa aliyeshinda baadae [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja kwanza niitafute gahawa mkuu.
Hii mechi ya leo ni balaa....