Hii inaaply sana.. Kwa wale wanaotaka kushinda tu lakinHii ni kanuni ya maisha, usijenge urafiki na looser, tembea na winner ujifunze![]()
Usiwaze mkuu,unajua hapa ni sawa na ukweni usipoenda kusalimia basi utaenda kumsemea mkeo.....Niko poa mkuu, acha ukauzu nawe umetukaushia sana
Subiri kwanza zipite dakika 45.Niambie kwanza upande wako mana usije ukajipendekeza kwa aliyeshinda baadae![]()
![]()
![]()
Mkuu, niwe muwazi...ushabiki staki kabsaa, unaumiza ukishindwaNiambie kwanza upande wako mana usije ukajipendekeza kwa aliyeshinda baadae![]()
![]()
![]()
HayaNgoja kwanza niitafute gahawa mkuu.
Hii mechi ya leo ni balaa....
Hahahaha,leo lazima mikeka ichanike.![]()
![]()
![]()
![]()
kiazi sana
Ushabiki wa mpira unaumiza sana hasa ukiwa mnazi wa mpira kama wadau wengine humu, mi nashabikia lakin sio mnazi sana wa mpira so hata timu yangu ikifungwa maumivu huwa siyajui kabisaMkuu, niwe muwazi...ushabiki staki kabsaa, unaumiza ukishindwa
Ukweli sishabikii
Bora umelijua hiloUshabiki wa mpira unaumiza sana hasa ukiwa mnazi wa mpira kama wadau wengine humu, mi nashabikia lakin sio mnazi sana wa mpira so hata timu yangu ikifungwa maumivu huwa siyajui kabisa
Hii ni kanuni ya maisha, usijenge urafiki na looser, tembea na winner ujifunze![]()

Hahahaha,leo lazima mikeka ichanike.
Kubet ni ujinga sana, bora uumize akili namna ya kutoka kuliko kamari![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mhindi atakomba hela za watu kama alovyozikomba kwa ile ya wajerumani