Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Ingekuwa Bongo...tungesema Ronaldo kalogwa
Game overNaona handsome kaumia, anatolewa nje na badge ya ucaptain anampa Nani.
Naona jamaa anatoka huku akiwa analia..Game over
Kalogwa na babu yako....Must winIngekuwa Bongo...tungesema Ronaldo kalogwa
Kalogwa na babu yako....Must win
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Kaumizwa kwa bahati mbaya .....ni sehemu ya soka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] inakusikitishaNaona jamaa anatoka huku akiwa analia..
Inasikitishaaaa
Upomchezo huu hauhitaji punga
Mie mzima kabisaDaaah
Siku zote Uwa una unakuja kipnd ambacho mie sipo hahaha
I hope uko vizuri
Kaumia kweli mkuuRonaldo kashaanza woga