Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Shem umekuwa zaidi ya almasi kulikoni?Nzuri sana ndugu yangu
Shem umekuwa zaidi ya almasi kulikoni?Nzuri sana ndugu yangu
Briz ck yako ilikuwajeMungu ni mwema sana
Poa poa, kete yako unaitupia wap leo?Tunawait final ya euro
Mpunguze mizuka msije umia umkifungwaTunawait final ya euro
Haina shdaaaMkuu piga kazi kabla mwili hujaanza kukataa, nashukuru unao uzima
Mlikuwa mnafikiri matusi, nikaamua kuja na jina langu shem languShem kwan ikawaje kutoka jambilo hadi kufika QUIGLEY![]()
![]()

Ukizoea matokeo ya mpira wa miguu wala hakuna shidaMpunguze mizuka msije umia umkifungwa
Ulipotea kidogo humu, mishe zinaendaje lakin?
Hii siku ilikua na upako wa kipekee kabisa, mishe zote zlilizokua zinazingua leo zilienda freshBriz ck yako ilikuwaje
Majukumu ya kifamilia yananibana shemShem umekuwa zaidi ya almasi kulikoni?
Pole sana ndugu, atapona tu usijaliNauguza mgonjwa so siko poa sanaaaaa
Habari njema sanaHii siku ilikua na upako wa kipekee kabisa, mishe zote zlilizokua zinazingua leo zilienda fresh