Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Asante sana kwa historiaTukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Miezi mitatu ya KF.
Ahsanteni jumapili njema.
Jumapili njema kwako pia
Asante sana kwa historiaTukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Miezi mitatu ya KF.
Ahsanteni jumapili njema.
Leo katika Historia:
1978 - Rais Moktar Ould Daddah wa Mauritania anapinduliwa madarakani katika mapinduzi yasiyohusisha umwagaji damu.
Leo katika Historia:
1980 - Jessica Simpson anazaliwa.
Ni mwanamitindo, Muigizaji na Mwanamuziki kutoka nchini Marekani.
Leo katika Historia:
1985 - Mario Gomez anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira toka Ujerumani.
Leo katika Historia:
1984 - Maria Julia Mantilla, Mwanamitindo toka nchini Peru anazaliwa.
Alikuja kuwa Miss World 2004.
Leo katika Historia:
1992 - Boris Yeltsin anakuwa Rais wa kwanza kuchaguliwa nchini Urusi.
Nilikuwa church muungwanaTukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Miezi mitatu ya KF.
Ahsanteni jumapili njema.
Mambo yanaendajeMorning
Asante sana mkuuTukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Miezi mitatu ya KF.
Ahsanteni jumapili njema.
Hivi nukuu mbona jana sikuiona???Asante sana mkuu
Ahsante kwa Mazageti.View attachment 364765
Shukrani ziwaendee wadhamini wetu ambao ni wa kimataifaaaaaaaaaaaaa
Kutoka katika meza ya magazeti sina la ziada naomba niwatakie jumapili njema
Adios amigo
Tusi lipi?![]()
![]()
![]()
![]()
Naombeni mREPORT hilo tusi
Mi tayari mkiwachekea watawazoea
............................
Uko poa shululu?Asante sana mkuu
Kuna watu km vipofu vile ht watukanwe hawashtukii ....hapo katutukana kimafumbo Makapuku wote.....anafikiri hatujui English au vichwani hatuna akiliOndoa like post #67343
Done![]()
![]()
![]()
![]()
Naombeni mREPORT hilo tusi
Mi tayari mkiwachekea watawazoea
............................
KaribuAhsante kwa Mazageti.
Kesho inaendeleaHivi nukuu mbona jana sikuiona???
Niko poa kabisa papaa oforo mitu ya kasayiUko poa shululu?