Yu wapi mbona naangaza macho na simuoni? Mpe zangu salaam... Muelezeeee afahamu uuuuuu kuwa ninapata taaaabuuuuuuuuuu...Aje aje sumbai? nimefurahi kukuona tena kamanda
asante. Uwe na w'end njema...View attachment 364765
Shukrani ziwaendee wadhamini wetu ambao ni wa kimataifaaaaaaaaaaaaa
Kutoka katika meza ya magazeti sina la ziada naomba niwatakie jumapili njema
Adios amigo
Hahaha njiwa kashapeleka salam, alikua anapita kimya kimya hapaYu wapi mbona naangaza macho na simuoni? Mpe zangu salaam... Muelezeeee afahamu uuuuuu kuwa ninapata taaaabuuuuuuuuuu...
Picha ya huyu mrembo plsLeo katika Historia:
1984 - Maria Julia Mantilla, Mwanamitindo toka nchini Peru anazaliwa.
Alikuja kuwa Miss World 2004.
Ni nani hawa... warusi, wachina ama NASA?Leo katika Historia:
1962 - Telstar. Satellite ya kwanza ya Mawasiliano yazinduliwa huko kwenye Orbit.
Na kwako pia kamanda, asante kwa historiaTukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Miezi mitatu ya KF.
Ahsanteni jumapili njema.
Nackia unataka kujiita BeyonceBitoz nyangema anataka aitwe tupac
Habar za kudamka wakuu..
Leo katika Historia:
1962 - Telstar. Satellite ya kwanza ya Mawasiliano yazinduliwa huko kwenye Orbit.
Leo katika Historia:
1976 - Ludovic Giuly. Mchezaji wa zamani wa Ufaransa na Barcelona anazaliwa.