Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
NimeshamalizaKaribu
Leo sikupata mengi
NimeshamalizaKaribu
Asante kwa magazetiView attachment 364765
Shukrani ziwaendee wadhamini wetu ambao ni wa kimataifaaaaaaaaaaaaa
Kutoka katika meza ya magazeti sina la ziada naomba niwatakie jumapili njema
Adios amigo
Morning umeamkaje?Morning Briz
Ni njema mkuu, jumapili inakwendaje?Vip hali mkuu!!?
KaribuAsante kwa magazeti
Mi Niko poa kabisaMorning umeamkaje?
Wala usijali, machache lakin yamejitosheleza kwa update ya leoNimeshamaliza
Leo sikupata mengi
Kibingwa au sioWala usijali, machache lakin yamejitosheleza kwa update ya leo
Duh! hii ikija bongo ni ndoa chache sana zitasalimika
SijamboHujambo Nahrene? Nakuona...
Morning dadake, jumapili inakwendaje?Morning
Namshkuru mungu mkuu. Vip wewe kaka.Ni njema mkuu, jumapili inakwendaje?
Mi niko poa braza, jpili ni tulivu kabisaNamshkuru mungu mkuu. Vip wewe kaka.
Jumapili iko poa kwangu sijui kwakoMorning dadake, jumapili inakwendaje?
Iko byieeee sanaJumapili iko poa kwangu sijui kwako