Makapuku Forum

JAMANI NINA OMBI LANGU KIDOGO..
najua mmeshanizoea kwa mbwembwe Gif,photo,utani na mikwara mingi..

Sasa nmeona kama hamtajali niwe nawaletea pia Hadithi hapa.. kwa siku angalau niwe ninaleta episode 5 mpaka pale hadithi itakapoisha na kuanza hadithi nyingine.
Dhumuni la kuamua au kufikiria kufanya hivi ni kutaka jukwaa letu lichangamke na kuongeza pia vionjo.

Je mtapenda nianze na hadithi za namna gani?


Makundi ya hadithi;
Za mapenzi
Za upelelezi
Vichekesho
Za kichawi

NB:mbwembwe, utani, Gif, mikwara and kutambariiiing zitakuwa zipo pale pale
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Wazo Zuri
Kila MTU ubunifu wake
Hongera kikofia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
Maana nmeona kila member yuko na kitengo chake kasoro mm ndo nnekuwa kiraka kila sehemu nipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo ivo ulikuwa unatia aibu ww kikofia.....vitu vya kubuni vipo vingi sana.
Kupiga story kutwa nzima fresh tu lkn inapendrza zaidi tunapoleta na vitu vyenye akili/mvuto/mafunzo,n.k
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
.....................
 
Ndo ivo ulikuwa unatia aibu ww kikofia.....vitu vya kubuni vipo vingi sana.
Kupiga story kutwa nzima fresh tu lkn inapendrza zaidi tunapoleta na vitu vyenye akili/mvuto/mafunzo,n.k
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
.....................

Bwahahaaaaaa,
Hapo kwenye red ni hatareee
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Za upelelezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…