Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Yan tokea Nahrene apotee hapa basi youngblood na yeye akawa ametoweka..Hahhaahhahahah...wacha tuone..
Ila ngoja nkamtafute nmlete hapaaa
Yan tokea Nahrene apotee hapa basi youngblood na yeye akawa ametoweka..Hahhaahhahahah...wacha tuone..
Na we ni mkali kama mussolin5, Jimena na Th Name wanaojua kuzioteaHaipati
Hahahahahah kabisa alisema wameenda kijijin kupalilia mahindi wakatokomea mazima...Yan tokea Nahrene apotee hapa basi youngblood na yeye akawa ametoweka..
Ila ngoja nkamtafute nmlete hapaaa
Una tabia mbayaa, kwa hiyo uliona nikiipata mimi ntafaidi sana siyo?
Haha hujui taiming kakuzid hapo tuNko poa, kitu nlichokuwa nakivizia QUIGLEY amekipata yy
Huenda ikawa kweli.. maana naona mahindi now yameshakomaa sasa ndo wanajiletaHahahahahah kabisa alisema wameenda kijijin kupalilia mahindi wakatokomea mazima...
Fanya hima umlete na youngblood kama ni kweli wote wameshamaliza kazi za shamba..Huenda ikawa kweli.. maana naona mahindi now yameshakomaa sasa ndo wanajileta
Sasa mimi ntaivizia 100k ili nipewe heshima kwenye front page kama ilivyo kwa mussolin5Haha hujui taiming kakuzid hapo tu
Mkuu chukua tu, hapa nimekupa SOMO kuw fanya mambo kimya kimya acha priii watakuwahi wenzioUna tabia mbayaa, kwa hiyo uliona nikiipata mimi ntafaidi sana siyo?
Itabidi usubirie tena 68kUna tabia mbayaa, kwa hiyo uliona nikiipata mimi ntafaidi sana siyo?


pole lakinTatizo huwa unapita mjini ndani ya tinted hauwez kuukumbuka mji kiivyoMimi mwenyewe nimeangalia sijapata picha kweli nimekuwa mgeni town...



Hapana mkuu nilitaka kupafananisha na maeneo ya kwa Father Babu kuliko na kile chuo ila ikakataa...Tatizo huwa unapita mjini ndani ya tinted hauwez kuukumbuka mji kiivyo![]()
Sasa ntaivizia 100k tena naomba iangukie usiku wengi mkiwa mmelala..Mkuu chukua tu, hapa nimekupa SOMO kuw fanya mambo kimya kimya acha priii watakuwahi wenzio

Hahaha dah kweli ujanja ni kuwahi kumiliki sio kuona mana jonax aliiona fursa akatangazia umma ikala kwakeMkuu chukua tu, hapa nimekupa SOMO kuw fanya mambo kimya kimya acha priii watakuwahi wenzio
Wala hiyo siitaki naisubiria 100k maana najua mtakuwa mmeshasahauItabidi usubirie tena 68kpole lakin
Sawa mkuu tukutane kwenye 100k ila jua tutakua wengi tunaogombania goliSasa mimi ntaivizia 100k ili nipewe heshima kwenye front page kama ilivyo kwa mussolin5
Kila la kheri kwakoSasa ntaivizia 100k tena naomba iangukie usiku wengi mkiwa mmelala..
Yani nitakuja hapa KUTAMBARIIIING like this![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
KweliHahaha dah kweli ujanja ni kuwahi kumiliki sio kuona mana jonax aliiona fursa akatangazia umma ikala kwake