Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
KweliDrake katika ubora wake
KweliDrake katika ubora wake
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaha uliwaza nini dadake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Oi oi oi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Oooi
Asante sana kwa kunipa heshima kubwa sana ya udhamini..Je wajua imeletwa kwenu kwa hisani ya mwanadada mrembo, mwerevu, hekima, busara, mchapakazi sio mwingine ni IRON L A D Y......JIMENAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Farijika nazo siku hii ya Eid dadake...one love na peace sanaaAsante sana kwa kunipa heshima kubwa sana ya udhamini..
Pia hizo quotes nazo ni shidaaaa
Maneno ya faraja matupu
Mkuu unaimalizia sikukuu nyumbani ama unasubiri jua lizame kwanza?
We wa Kilimanjaro nini???[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ningeiba hela nyingi sanaaaaaaaaaaa yani sijui kama mtaelewa ila nikisema nyingi namaanisha, kisha nikatokomea nazo huko ughaibuni
Pilau na spoon???[emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nipo Manzese acheni roho mbaya bhana nakuja kimwendokasi tiketi tyr![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
SanaaaaUmetishaaaa[emoji3]
Asano???[emoji15] au kwasababu wao wafupi kama wewe???[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23]Tunawahitaji akina Takuma sio wasumbufu km nyie mapapa
...........
[emoji16] ntake kumuladhi[emoji90]Huyu naye ukimkaribisha anazama hadi chumbani, hafai hata kwa sukari
Nakutaka kumuradhi mutu yangu[emoji16] ntake kumuladhi[emoji90]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoya kwansaHebu leo komaa uondoe hii kitu inajiita da boss hapo mkuu
Post 50 umemwangusha bozz[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoya kwansa
Mrahaba wa madini, trillion za kodi na vitofali vya dhahabu plus meno ya elephant [emoji12]Aliyetoka madarakani kashazikomba zote sa sijui we ungekomba zipi?? [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama hujawahi kuitwa Boss,
Tengeneza folder kwenye Pc halafu Lipe jina Boss then lidelete. Ukitaka kudelete utaulizwa '' do you want to delete this folder Boss''
Ongezaga musiku ya kuishi, na kumuondoa kumaladhi[emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana papaa
Unanusa zaidi ya nzi![emoji106]Mkinipa huo urais ndo mtajua kuwa hela huwa zipo serikalini au hàkuna
Smart sana huyu kjMrahaba wa madini, trillion za kodi na vitofali vya dhahabu plus meno ya elephant [emoji12]