MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
CHEMUSHA MBONGO!!!
Hivi ungepewa Urais kwa 30 days ungefanya nini???
Mosi, hakuna raisi wa siku thelathini.
Pili, huo utakuwa ni uvunjivu na matukano makubwa kabisa dhidi ya katiba ya Jamhuri ya muungano wa watu wa Tanzania.
Tatu, hiyo ityakuwa ni fedheha na matusi makubwa dhidi ya watu wa Tanganyika na Zanzibar.
Nne, kiuhalisia hakuna mtu yoyote ndani ya Jamhuri mwenye uwezo wa kupendekeza, kupigia kura, kuapisha na kukubali kuongozwa na huyo raisi wa siku thelethini.