Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,513
- 40,616
We unafaa[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Ningeleta wakongo mastaaz waburudishe ikulu..cc warembo wote wavunje viuno kutwa
We unafaa[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Ningeleta wakongo mastaaz waburudishe ikulu..cc warembo wote wavunje viuno kutwa
Wape salamu wapwaMkuu nipo na wapwa wangu hapa,
Sijaonana nao miaka, wananipigisha stori za uongo na kweli na inabidi niwaangalie wasijefanya uharibifu
Bobyyyz zangu[emoji85]We unafaa[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Umetishaaaa[emoji3]Ningeiba hela nyingi sanaaaaaaaaaaa yani sijui kama mtaelewa ila nikisema nyingi namaanisha, kisha nikatokomea nazo huko ughaibuni
Afulica moya kwanini umubaguzi Papaa???[emoji15]Ningefukuza wakongo wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Tunawahitaji akina Takuma sio wasumbufu km nyie mapapaAfulica moya kwanini umubaguzi Papaa???[emoji15]
Kama una whipping cream unaweza kutengeneza ice cream anytime... Pia unaweza tumia chocolate badala ya betroot yani utumie vitu ambavyo ni rahisi kupatikana mazingira uliopoAsante sana, ntaifanya leo hii
Utafutaji wa maisha ndo unatufanya tujue mengiKumbe mtaaluma hivi[emoji112] [emoji112] [emoji112]
Hakika, wapambanaji maishan wanamengi ya kujivunia, napendaga vichwa vya kuchemka, na hii ni mwarobaini wa ajira na kupunguza kusaga soli kutembeza baruaUtafutaji wa maisha ndo unatufanya tujue mengi
Huyu naye ukimkaribisha anazama hadi chumbani, hafai hata kwa sukariWe naweeeee ushaanza kukuza mambo sasa[emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeonaeeh!!!
Alidhani tupo lile jukwaa[emoji23]
Hebu leo komaa uondoe hii kitu inajiita da boss hapo mkuuWe unafaa[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Ni kweli kabisaHakika, wapambanaji maishan wanamengi ya kujivunia, napendaga vichwa vya kuchemka, na hii ni mwarobaini wa ajira na kupunguza kusaga soli kutembeza barua
Aliyetoka madarakani kashazikomba zote sa sijui we ungekomba zipi?? [emoji2][emoji2][emoji2]Ningeiba hela nyingi sanaaaaaaaaaaa yani sijui kama mtaelewa ila nikisema nyingi namaanisha, kisha nikatokomea nazo huko ughaibuni
Naona unatembea na vitendea kazi kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]Nipo Manzese acheni roho mbaya bhana nakuja kimwendokasi tiketi tyr![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afulica moya kwanini umubaguzi Papaa???[emoji15]
Poa dadake nimekusomaKama una whipping cream unaweza kutengeneza ice cream anytime... Pia unaweza tumia chocolate badala ya betroot yani utumie vitu ambavyo ni rahisi kupatikana mazingira uliopo