Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Mkinipa huo urais ndo mtajua kuwa hela huwa zipo serikalini au hàkunaAliyetoka madarakani kashazikomba zote sa sijui we ungekomba zipi?? [emoji2][emoji2][emoji2]
Mkinipa huo urais ndo mtajua kuwa hela huwa zipo serikalini au hàkunaAliyetoka madarakani kashazikomba zote sa sijui we ungekomba zipi?? [emoji2][emoji2][emoji2]
Huyu jamaa mzoefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unatembea na vitendea kazi kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha uliwaza nini dadake[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama hujawahi kuitwa Boss,
Tengeneza folder kwenye Pc halafu Lipe jina Boss then lidelete. Ukitaka kudelete utaulizwa '' do you want to delete this folder Boss''
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] OooiKama hujawahi kuitwa Boss,
Tengeneza folder kwenye Pc halafu Lipe jina Boss then lidelete. Ukitaka kudelete utaulizwa '' do you want to delete this folder Boss''
Mkuu unaimalizia sikukuu nyumbani ama unasubiri jua lizame kwanza?Ahsante zimefika.
Hatari sanaHuyu jamaa mzoefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naskia mzee wa msoga alikausha hazina... Kumbe huwa zipo tu eeh?Mkinipa huo urais ndo mtajua kuwa hela huwa zipo serikalini au hàkuna
Drake katika ubora wake