Makapuku Forum

Makapuku Forum

c22238ab1dc4b520fe4e783a92b736bd.jpg
Kumbe Bush huyu??? Mi nilijua Bush baba
 
Duu.... Anza kuacha hiyo tabia sasa maana umeshajua kuwa sio nzuri
Chukua kalamu na karatasi kisha andika hivi
Mfano:
Wewe Szczesny unasamehe kila mtu aliekukosea, huweki kinyongo moyoni
Wala huna kinyongo na mtu yoyote, unasamehe na kusahau kabisa na unaishi kwa furaha
Wala huweki kinyongo,

Kisha uwe unasema hayo maneno kila unapopata muda.... Ikipita mwezi kama utafanya hayo kwa kumaanisha basi utakuja kutoa ushuhuda hapa hapa
Unaweza pia kurekodi kisha uwe unasikiliza
Hakika wew ni dada wa maana sana, nimekupenda zaidi
 
Back
Top Bottom