Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Kumbe ana umri kiasiLeo katika Historia:
1946 - George Bush, Rais wa zamani wa Marekani anazaliwa.
Kumbe ana umri kiasiLeo katika Historia:
1946 - George Bush, Rais wa zamani wa Marekani anazaliwa.
Mkia ni mkia tuNi kweli tuko mkiani lakin sio kwa kiwango cha wale
Ak47 mashine bora sana, hata ianguke matopeni unanyanyua na kupiga mzigo kawaida tuKumbe huu mzigo ni wa mrusi... Shikamoo mrusi
Mzee wamafoto nina appreciate kazi yako sanaaa
Asante brooMpaka nimefika mwisho tukutane tena kesho kwa Udhamini wa Eid Mubarak.
Nawe pia mremboEid Mubarak...
[emoji2][emoji2][emoji2] mkia sehem ya juu una nafuu kidogo bana.. Nweys ubaya wa mkia sisi ni kwamba tuna kila kitu cha kutupeleka level nyingine sema ndo vile tenaMkia ni mkia tu
Nawe piaEid Njema wadau
HongeraKwa mara ya kwanza leo nimetusua 66k, safari imeanza
Cc Jimena & mussolin5
[emoji1][emoji1][emoji1] teknolojia katika ubora wakeView attachment 363504
Karibuni
Asante sana mkuuHongera
Fanya kupita hapa kwanza....[emoji2][emoji2][emoji2] mkia sehem ya juu una nafuu kidogo bana.. Nweys ubaya wa mkia sisi ni kwamba tuna kila kitu cha kutupeleka level nyingine sema ndo vile tena
Shwari mkuu za kupoteaEid Mubarak!
Kheri humu?
Sanaaaaa.[emoji1][emoji1][emoji1] teknolojia katika ubora wake
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Karibu
Waoh! Eid nimeianza vizuri, baadae nawaalika wadau tukajipongeze kidogoFanya kupita hapa kwanza....
Na uhakikishe huwi kama malawi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Notable Members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Min al faidhinEid Mubarak ndug.