Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mchezaji wa zamani wa timu ya Barcelona,
Hristo Stoichkov amedai kuwa Ronaldo anaweza
akatwaa tuzo ya Ballon d’Or.
Hristo Stoichkov ambaye alifanikiwa kuichezea
timu a Barcelona mara mbili tofauti kwa miaka
saba na kucheza jumla ya mechi 175 na kufunga
magoli 84, ameiambia radio ya Cadena Cope ya
Hispania kuwa kutokana na umbile la Ronaldo
anaweza akapewa tuzo ya Ballon d’Or.
“Griezmann is blowing everyone away and
playing some spectacular football. But they’ll
probably give it to Cristiano Ronaldo again for
being guapo [handsome]!,” alisema Stoichkov.
Aidha Stoichkov ameongeza kuwa Gareth Bale
atakuwa miongoni mwa wachezaji wanaowania
tuzo hiyo iwapo Wales itatinga fainali ya
michuano ya Uero inayoendelea huko nchini
Ufaransa.
Stoichkov amefanikiwa kuchukua tuzo hiyo ya
Ballon d’Or mara moja nao ni mwaka 1994 akiwa
na timu ya Barcelona.
 
Hahaha
Uwa nashndwa kwa kweli na hata watu wangu wa jiran wana nijua

Hata mtu akifanya kitu inabid anakuja sema
"Hivi pale nlikukera eeh!!?"
Duu.... Anza kuacha hiyo tabia sasa maana umeshajua kuwa sio nzuri
Chukua kalamu na karatasi kisha andika hivi
Mfano:
Wewe Szczesny unasamehe kila mtu aliekukosea, huweki kinyongo moyoni
Wala huna kinyongo na mtu yoyote, unasamehe na kusahau kabisa na unaishi kwa furaha
Wala huweki kinyongo,

Kisha uwe unasema hayo maneno kila unapopata muda.... Ikipita mwezi kama utafanya hayo kwa kumaanisha basi utakuja kutoa ushuhuda hapa hapa
Unaweza pia kurekodi kisha uwe unasikiliza
 
Ahsante
Ntajaribu ku work against how i am
 
Hii inasaidia nin? Kulitoa jakamoyo au?
 
Back
Top Bottom