Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,298
KweliAnhaaa
Aaah kumbe safi mkuu, rizik popote mtu wangu
KweliAnhaaa
Aaah kumbe safi mkuu, rizik popote mtu wangu
Hahahahahaha bado nafikiriaInaelekea umedhamiria dadake
Cheka tu bibie refusha maishaHa ha ha ha ha nachekaje sasa hapa.....
Niko makini kabisa mkuuHahahaa
We kijana kuwa makini asee
Teh tehMacho hayo utamwagiwa upupu
Kuwa makini
Hahaa poapoa chibu, tumekusomangoja niwaambieni siri ambayo najua hamuifahamu..
hivi mnajua kuwa mimi ndo Diamond plutnumz au Nasibu Abdul?
Ila siwalaumu kwa kutokunifahamu mapema.. najua tatizo ni hii ID fake ninayoitumia..
Ila msije mkawaambia member wengine hapa Jf. Hii storry ibakie hapa hapa KF![]()
Sawa basi hatumwambii mtungoja niwaambieni siri ambayo najua hamuifahamu..
hivi mnajua kuwa mimi ndo Diamond plutnumz au Nasibu Abdul?
Ila siwalaumu kwa kutokunifahamu mapema.. najua tatizo ni hii ID fake ninayoitumia..
Ila msije mkawaambia member wengine hapa Jf. Hii storry ibakie hapa hapa KF![]()
Na kweli mkuu ina wezekana maana mambo yana badilika kwel kwelMadale sasa kunapendezaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Serengeti!!! Hatuna hiyo safari mam
MhhInabid Jimena ajifunze kupika hiyo kwetu ndo kitoweo
Nafurahi kusikia hivyoMimi unajua kabsa nikikosekana ni kuwa sina jinsi ila kila tyme napenda niepo hapa na wewe
Hahaha[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ooh kumbe sisi ni Morocco tu??
Mmmmhhhh hayaWatu flan hivi amazing
Madale kubwa, kwa kiria, kontena,kwa diamond au kwa kawawa
Ukifika ulizia white house utaletwa hadi kwanguAaah
Mkuu ahsante ni kitambo sijaenda madale asee
Hatariiii
Maana hamna namna sasaCheka tu bibie refusha maisha