Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Ohooooo [emoji3]Umealikwa na namba 2 eee
Sasa mkuuu una choma kibanda
Ohooooo [emoji3]Umealikwa na namba 2 eee
Inabid Jimena ajifunze kupika hiyo kwetu ndo kitoweoOk sawa lakin hapo kwenye mbwa labda tumuulize ndugu yetu Szczesny mana kuna siku nlimskia anasema anatokea pande zile ambazo kwao mbwa hana tofauti na mbuzi au kitoweo chochote [emoji4] [emoji4]
Alisema ahadi zote hizi zipo ndani ya uwezo hahaa sasa nasubiri aniambie amefeli
Mkuu kesho nakukaribisha kibo complex jioni tupate msosiHahahaa
We kijana kuwa makini asee
AhsanteeeMkuu kesho nakukaribisha kibo complex jioni tupate msosi
[emoji87] [emoji87] [emoji87] Namwagia maji kisiwakeOhooooo [emoji3]
Sasa mkuuu una choma kibanda
Hahahaha tatizo nafasi... Napenda maua yawe nje ya nyumba lakini sio ndani,Hiloooooo
Halafu kwako hujapanda ht kaua kamoja
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
............
CC: IGPUsidhani ukiwa na jina kubwa @ mtu atakufagilia
[emoji31] [emoji31] [emoji31]Inabid Jimena ajifunze kupika hiyo kwetu ndo kitoweo
Karibu kesho Madale hapa kwa ajili ya kusherehekea Eid[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji3] [emoji81] [emoji81] [emoji3]
Yaan nmechka hadi majirani wameamka
Ndo makzi, kwingine ni kutafta rizkiAhsanteee
Umeamua kupga kambi tegeta eeh!?
Madale kubwa, kwa kiria, kontena,kwa diamond au kwa kawawaKaribu kesho Madale hapa kwa ajili ya kusherehekea Eid
Unanikumbusha mbaali mashambani huko lakin kwa sasa duu..Karibu kesho Madale hapa kwa ajili ya kusherehekea Eid
Rafiki..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa ni shida nyingine
AaahKaribu kesho Madale hapa kwa ajili ya kusherehekea Eid
AnhaaaNdo makzi, kwingine ni kutafta rizki
Kaazi kweli kweliAlisema ahadi zote hizi zipo ndani ya uwezo hahaa sasa nasubiri aniambie amefeli
Madale sasa kunapendezaaAaah
Mkuu ahsante ni kitambo sijaenda madale asee
Hatariiii