Makapuku Forum

Makapuku Forum

ngoja niwaambieni siri ambayo najua hamuifahamu..

hivi mnajua kuwa mimi ndo Diamond plutnumz au Nasibu Abdul?

Ila siwalaumu kwa kutokunifahamu mapema.. najua tatizo ni hii ID fake ninayoitumia..

Ila msije mkawaambia member wengine hapa Jf. Hii storry ibakie hapa hapa KF
76588e05bbc827e3ba2ba8b886bbabfa.jpg
 
Swala tu kwamba iko Afrika basi jua ya kwamba ni nzuri....
Ukimchunguza sana mbwa huwezi kumla
(aah kumbe mbwa haliwi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] )
Ok sawa lakin hapo kwenye mbwa labda tumuulize ndugu yetu Szczesny mana kuna siku nlimskia anasema anatokea pande zile ambazo kwao mbwa hana tofauti na mbuzi au kitoweo chochote [emoji4] [emoji4]
 
ngoja niwaambieni siri ambayo najua hamuifahamu..

hivi mnajua kuwa mimi ndo Diamond plutnumz au Nasibu Abdul?

Ila siwalaumu kwa kutokunifahamu mapema.. najua tatizo ni hii ID fake ninayoitumia..

Ila msije mkawaambia member wengine hapa Jf. Hii storry ibakie hapa hapa KF
76588e05bbc827e3ba2ba8b886bbabfa.jpg
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji3] [emoji81] [emoji81] [emoji3]

Yaan nmechka hadi majirani wameamka
 
ngoja niwaambieni siri ambayo najua hamuifahamu..

hivi mnajua kuwa mimi ndo Diamond plutnumz au Nasibu Abdul?

Ila siwalaumu kwa kutokunifahamu mapema.. najua tatizo ni hii ID fake ninayoitumia..

Ila msije mkawaambia member wengine hapa Jf. Hii storry ibakie hapa hapa KF
76588e05bbc827e3ba2ba8b886bbabfa.jpg
Usidhani ukiwa na jina kubwa @ mtu atakufagilia
 
Back
Top Bottom