briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Aisee! pako vizuri kumbe, ushawah panda mlima braza? Natamani nipande mlima ila nianze kilimanjaro kwanzaIna makumbusho ya ndege aina nyingi sana walohifadhiwa kitaalam, black and white collubus, wanyama aina mbalimbali kwenye uwanda uitwao serengeti ndogo, ina kreta, maziwa madogomadogo, inavutia kiasi chake...bila kusahau kupanda mlima Meru