Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Mimi mpaka moyo unaruka kichurachuraaaNakupenda hadi bathiii
Mimi mpaka moyo unaruka kichurachuraaaNakupenda hadi bathiii
Safari kama hii mkuu huwezi enjoy mkuu niamini, najua nisemacho, kumbuka barabara zote ndani ya mbuga ni rafu road na huruhusiwi kuendesha gari spidi zaidi ya 50km/hr. Na mbugani nyakati nzuri za kuona wanyama ni asubuhi na jioni hivyo safari kama hii huwezi ona baadhi ya wanyma kwani dereva atakuwa ana rush kukamilisha ratiba tuNa mi ngoja nijitutumue kama Szczesny hapa nisibaki nyuma ujiandae tutafute vacation twende hahaa uzuri hifadhi za upande wa kaskazini ni kama zimepangana hivi ukipata kampuni nzuri wanaanzia tarangire, manyara, ngorongoro unamalizia na serengeti
UwiiiKama ule mji wao kumamoto Japan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Napenda sana, nawe si wapenda kunipa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unapenda ee muone[emoji12]
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]NUKUU YA LEO :
Mwombee mwenzako afanikiwe sio ili akusaidie bali ajitegemee
By Bitoz
.....................
Oct sitakuwepoDaah Dandia Oct. Ntakuwa na wageni wakwenda serengeti, utakodi tent yako tu, mengine free
Hawezi kutokea hana top 10 za leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja aje mwenyewe
Cc Szczesny
Nakuombea uwe baba bora km huyu[emoji116]Nakuombea upate mke mwema km Ray C halafu mzae mtoto nzuri km James
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja aje mwenyewe
Cc Szczesny
Sana, kishingo upande lakini...Kaka wa maana sana huyu
So Arusha national park hujaenda kwa black and white collubus!Ndio mkuu kampuni nyingi zinazopeleka watalii huko zinakupitisha hifadhi zote hizo mi nlianzia tarangire, manyara, ngorongoro nikamalizia na serengeti
AsanteeeNa mi ngoja nijitutumue kama Szczesny hapa nisibaki nyuma ujiandae tutafute vacation twende hahaa uzuri hifadhi za upande wa kaskazini ni kama zimepangana hivi ukipata kampuni nzuri wanaanzia tarangire, manyara, ngorongoro unamalizia na serengeti
[emoji106]
Basi afanye mambo uchumi wetu ukue na kuwa namba 1 afrikaHahaha tumtafute kwanza yule profesa maji marefu naskia anaweza hayo mambo
Tutadondoka baby....Staki ufe twende Tokyo tukajirushe[emoji173] [emoji173] [emoji173]
Haha ndio mkuu, it was a kind of offer nna ndugu yangu yupo kwenye moja ya hayo makampuni alinionganisha kwenye safari moja na wageni wa nje, haikuwa ya presha kama unavyodhani tarangire tilispend siku mbili tukalala mto wa mbu tukaamkia manyara nako ni padogo tuliispendi siku moja tukaamsha ngorongoro next day ambako tulispend kama siku nne siku baada ya hapo tukaenda serengeti, kwa ujumla tulispendi kama wiki mbili na siku kadhaaDaaaa ilikuwa ofa?
Kwani ni vigumu sana kuwa na safari ya namna hiyo, kijografia huwezi arrange safari kama hiyo labda utumie chopa.
Kwenda tarangire inawe kuwa safari ya ck mbili, utalazimika urudi makuyuni ndipo uende manyara national park nayo ck moja na utalala karatu, kesho yake uamkie ngorongoro, then uelekee serengeti ufike jioni sana, kesho yake ndipo uanze kutalii, na utalazimika kulala, ndipo uanze safari ya kurejea Arusha ufike usiku, then next day uelekee Arusha national park. Safari hii sio rafiki huwezi enjoy utachoka sana mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196]Mimi mpaka moyo unaruka kichurachuraaa
Nimem miss sana huyu jamaa
Nini waridi?[emoji23]Uwiii
Jamani y?Sana, kishingo upande lakini...