Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,081
Nani huyo?Huyu mbona ni kapuku mwenzetu?
Nani huyo?Huyu mbona ni kapuku mwenzetu?
Hatari sana huyo fundi[emoji41] huyu fundi aliyepaka rangi huu ukuta wa hospital ya muhimbili mnamfahamu?![]()
Kwa urahisi una join safari tu, ukodishe vifaa vya baridi na kupandia mlima, ubebe vyakula, gharama haizidi laki 2Afu naskia hakuna gharama sana kwa mtanzania, ntatafuta info zaid ikiwezekana mwakani na mi nipande
Patience123Nani huyo?
We acha tu kila tulichonacho hakijawahi kutotua kwenye huu umaskini labda huo ugunduzi mpya wa hiyo heliumHalafu eti ni nchi masikini[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Briz jitahidi utume post angalau 60 tu hadi kesho uingie top 20, unadaiwa likes 274 toAfu naskia hakuna gharama sana kwa mtanzania, ntatafuta info zaid ikiwezekana mwakani na mi nipande
Ok kumbe kawaida tu, hivi kwa wastani unatumia mda gan kupanda na kushuka?Kwa urahisi una join safari tu, ukodishe vifaa vya baridi na kupandia mlima, ubebe vyakula, gharama haizidi laki 2
Dah hii kali ila wangeweza kuboresha zaidi wakaweka matundu ya kunywea kwenye hizo chuchuView attachment 362999
Haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18
Jimena wale wa chopa wakitua mbugani wanaanza kutembelea gari, isipokuwa wanapunguza mda wa kuwa barabarani, kwani kutoka arusha hadi serengeti ni mwendo wa siku nzima, arusha tarangire, saa 3, arusha manyara saa 2/3, arusha ngorongoro saa 4Mi pia nakubali gari kwa safari kama hizo
Huo ndio ujumbe ulotuletea?View attachment 362999
Haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18
Kupanda siku hadi kushuka siku 6 hadi 7Ok kumbe kawaida tu, hivi kwa wastani unatumia mda gan kupanda na kushuka?
Ni kweli kabisaUko sahihi, ukitembelea kule unahisi ka vile uko nje ya tz kumbe...
[emoji23] naona unajivutia kwako eeh?Patience123
Ok nimekusoma mkuu, nimekua mvivu sana kupostBriz jitahidi utume post angalau 60 tu hadi kesho uingie top 20, unadaiwa likes 274 to
Ok, kaka utakua umeufaidi sana uzuri wa nchiKupanda siku hadi kushuka siku 6 hadi 7
[emoji23] naona unajivutia kwako eeh?Patience123
Mimi nadaiwa likes ngapi ili nifike huko?Briz jitahidi utume post angalau 60 tu hadi kesho uingie top 20, unadaiwa likes 274 to
Piga kazi sasa hii wiki isiisheOk nimekusoma mkuu, nimekua mvivu sana kupost
Poa kamandaPiga kazi sasa hii wiki isiishe