Usiwe mpuuzi km mbuziKweli nmeamini Bitoz ni bitoz haswaa![]()
Kama yupo hakuna ubaya.... Maana inajulikana kuwa hayupo na atarudi alhamisiMtu azibe pengo sasa
Tutakosaje uhondo
.............
Mi pande hizo nishatalii mkuu bado tu hifadhi za upande wa nyanda za juu kusiniKwa kweli, nashauri tuwe na utamaduni wa kutembelea hifadhi zetu
Itakuwa hatari kweli kweliNina wasiwasi anaweza akawa kama kj..maisha bora kwa @ mtanzania halafu yakawa....
Aliyetoroga kafa [emoji4] [emoji4]Mkuu sijui nani katuloga!
Ngorongoro pekee inatosha kututoa kiuchumi
Waviziaji wanavizia magazeti yako tuKama yupo hakuna ubaya.... Maana inajulikana kuwa hayupo na atarudi alhamisi
Mi kote badoMi pande hizo nishatalii mkuu bado tu hifadhi za upande wa nyanda za juu kusini
[emoji120] [emoji120]Hakusema yuko wapi ila alisema atasafiri na aendako network ni majanga ila anatarajia kurudi alhamisi ya wiki hii
Kama vipi tumfufue [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]Aliyetoroga kafa [emoji4] [emoji4]
MarahabaaaaaaaShikamooni wadogo...
Wakubwa marahaba
Wananionea kwavile mi sio mbabe [emoji3] [emoji3] [emoji3]Waviziaji wanavizia magazeti yako tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Tarangirr, manyara na Arusha national park tsyari?Mi pande hizo nishatalii mkuu bado tu hifadhi za upande wa nyanda za juu kusini
Mzeee yule au!Aliyetoroga kafa [emoji4] [emoji4]
UtakomaWananionea kwavile mi sio mbabe [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Daah Dandia Oct. Ntakuwa na wageni wakwenda serengeti, utakodi tent yako tu, mengine freeMi kote bado
Apunguze na foleni ndefuNUKUU YA LEO :
Mwombee mwenzako afanikiwe sio ili akusaidie bali ajitegee
By Bitoz
.....................
Nina wasiwasi anaweza akawa kama kj..maisha bora kwa @ mtanzania halafu yakawa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuache wivu & chuki zisizo na maanaApunguze na foleni ndefu