briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiwe mpuuzi km mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiwe mpuuzi km mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Na mi ngoja nijitutumue kama Szczesny hapa nisibaki nyuma ujiandae tutafute vacation twende hahaa uzuri hifadhi za upande wa kaskazini ni kama zimepangana hivi ukipata kampuni nzuri wanaanzia tarangire, manyara, ngorongoro unamalizia na serengetiMi kote bado
Hahaha tumtafute kwanza yule profesa maji marefu naskia anaweza hayo mamboKama vipi tumfufue [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Ametuharibia sana
Mimi nakuombea ww uwe mwanamziki mkubwa kama Elton JohnNUKUU YA LEO :
Mwombee mwenzako afanikiwe sio ili akusaidie bali ajitegemee
By Bitoz
.....................
Ndio mkuu kampuni nyingi zinazopeleka watalii huko zinakupitisha hifadhi zote hizo mi nlianzia tarangire, manyara, ngorongoro nikamalizia na serengetiTarangirr, manyara na Arusha national park tsyari?
Hahaha yupi huyo??Mzeee yule au!
Nakuombea upate mke mwema km Ray C halafu mzae mtoto nzuri km JamesMimi nakuombea ww uwe mwanamziki mkubwa kama Elton John
Kuna cha kujifunza hapa kwa huyu nigga
Daaaa ilikuwa ofa?Ndio mkuu kampuni nyingi zinazopeleka watalii huko zinakupitisha hifadhi zote hizo mi nlianzia tarangire, manyara, ngorongoro nikamalizia na serengeti
Unapenda ee muone[emoji12]Marahabaaaaaaa
Kuna cha kujifunza hapa kwa huyu nigga
Wivu ni tabia, tena mbaya na haita kaa wivu uishe, labda mtu akijitambua ndipo ajizoeshe kuachaTuache wivu & chuki zisizo na maana
Mafanikio ya fulani yatakuathiri nini ktk maisha yako ?
Chuki mbaya
Mfn hai unaonekana JF Mafanikio ya hii thread yanawanyima watu raha & usingizi
............