Makapuku Forum

Makapuku Forum

My wii hiyo ni amazing sanaaa

Sema TUKO nyuma sana ku advertise utalii wetu, Kenya wanapata sana watalii kwa hiyo issue ya uhamaji WA wanyama na inatokea kila mwaka
Ni kweli kabisa hii ishu kenya wanafaidika zaid ingawa hao nyumbu wanakaa muda mrefu zaid upande wa tanzania, wakenya wana-take adventage pale hao nyumbu wanapohamia upande wa kenya masai mara
 
Kweli nmeamini Bitoz ni bitoz haswaa
0419ca76758a7f6610f8bcd17242daca.jpg
 
Ni kweli kabisa hii ishu kenya wanafaidika zaid ingawa hao nyumbu wanakaa muda mrefu zaid upande wa tanzania, wakenya wana-take adventage pale hao nyumbu wanapohamia upande wa kenya masai mara
Mkuu sijui nani katuloga!
Ngorongoro pekee inatosha kututoa kiuchumi
 
Back
Top Bottom