Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Sasa si hawataki kulima mi ntawasaidiaje??Acheni majungu ....kijijini kwenu njaa kila siku
Watu wanakufa kwa utapiamlo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Sasa si hawataki kulima mi ntawasaidiaje??Acheni majungu ....kijijini kwenu njaa kila siku
Watu wanakufa kwa utapiamlo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Asante dadaHongera sana kaka ake
Hii ni mpya kabisa kwangu5) je wajua?
Kati ya maajabu 7 ya asili Barani Afrika, namba moja ni kuhamama hama kwa makundi ya wanyama ktk hifadhi ya serengetiView attachment 362969View attachment 362970
Njema tu habari ya kuadimika?Habari ya jioni wapendwa???
Asante sana kwa kutuongezea ujuziWapendwa makapuku na huo mwisho wa kipindi chetu cha JE WAJUA?
MUNGU AWABARIKI
Basi ni vyema umepata kitu kipya jioni hii.Hii ni mpya kabisa kwangu
Karibu sana dadakeAsante sana kwa kutuongezea ujuzi
Safi tu, za wewe?Habari ya jioni wapendwa???
Nasikia siku hizi hakuendekiBasi ni vyema umepata kitu kipya jioni hii.
Kwa kweli serengeti ni pazuri sana
Makapuku jipangeni kwenda kufurahia
Hapana, kwa raia ni 1,500 tu na kodi ya gari ni 10,000Nasikia siku hizi hakuendeki
kodi juu
Sasa si hawataki kulima mi ntawasaidiaje??
Wajapan matusi matupu
Kuna hadi mtu anaitwa Kundumoto
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
...........
![]()
Una visa km Takuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Hapana. Yule Embolo
Kama ule mji wao kumamoto Japan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amekuwa mchaga ukoo wa mamboro
My wii hiyo ni amazing sanaaaHii ni mpya kabisa kwangu
Ni poa sanaa ndugu yanguSafi tu, za wewe?