Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Kuamua tu ....Kusamehe nacho kama kipaji si kila mtu anaweza
Yanini kukaa na vinyongo???
Kuamua tu ....Kusamehe nacho kama kipaji si kila mtu anaweza
Namkubali sanaaaaaaa(3)Martni-Luther
Huyu alikuwa kiongozi wa wanaharakati wa haki za kiraia huko Marekani, aliyeheshimika sana kwa kuendesha harakati zake kwa AMANI. Alikuwa hodari wa misemo iliyotia hamasa ya watu kuendelea kupambana na kufikia hatima za ndoto zao za kuwa huru mbali na ukandamizaji
View attachment 362551
"Forgiveness is the attribute of the strong"Hakika unasema kweli..hili nimethibitisha...basi wewe ni strong..rejea nukuu ya Gadhi
Ukiwa mtu wa vinyongo utazeeka mapema na unakuwa mtumwa wa kubeba mtu moyoni..mimi tukimaliza kuongea moyo mweupeeeKuamua tu ....
Yanini kukaa na vinyongo???
Sure, afu gubu na kushindwa kusamehe vinakondesha mwili tu [emoji4] [emoji4]Kuamua tu ....
Yanini kukaa na vinyongo???
KweliSure, afu gubu na kushindwa kusamehe vinakondesha mwili tu [emoji4] [emoji4]
Word!
Hiyo safiUkiwa mtu wa vinyongo utazeeka mapema na unakuwa mtumwa wa kubeba mtu moyoni..mimi tukimaliza kuongea moyo mweupeee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Am teln u Jimena, mtu ukiwa safi kwenye nafsi viminofu mwilini havikosekani [emoji23][emoji23]
Jembe sana huyu jamaa(5) Je wajua? Kiongozi anayeshikilia rekodi ya 5,
Mao Zedong kiongozi na mwasisi wa Jamhuri ya watu wa China unayoiona leo, alizima uvamizi wa Wajapani, ndiye aliyeasisi misingi ya uchumi na mshikamano wa China ya leo
View attachment 362570
HaswaaJembe sana huyu jamaa
Ni kweli kabisaAm teln u Jimena, mtu ukiwa safi kwenye nafsi viminofu mwilini havikosekani [emoji23][emoji23]