Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Hii sikuwahi kuisikia kabisa(5) Je wajua? Kiongozi anayeshikilia rekodi ya 5,
Mao Zedong kiongozi na mwasisi wa Jamhuri ya watu wa China unayoiona leo, alizima uvamizi wa Wajapani, ndiye aliyeasisi misingi ya uchumi na mshikamano wa China ya leo
View attachment 362570