Makapuku Forum

Makapuku Forum

14)Che Guavara
1467560408349.jpg
 
Winston Chuchhill
Huyu alikuwa waziri mkuu wa Uingereza kipindi cha ww11 na aliweza kuunganisha nchi washirika na majeshi ya nchi yake, hatimaye wakashindaView attachment 362588

Anachukuliwa kama mmoja wa viongozi hodari duniani wakati wa vita kuu ya pili ya Dunia.

Pia amehudumu kama Waziri Mkuu wa Uingereza mara mbili tofauti.
 
15)tunahitimisha na namba 15 kiboko ya Marekani sio mwingine ni Fidel Castro na rafiki mkubwa wa Che GuavaraView attachment 362605
Inasemekana alimfanyia fitna Camilo Cienfuegos ( Jamaa aliyepo kwenye avatar yangu ) na kumpoteza duniani.

By the way ni mmoja kati ya viongozi makini waliowahi kutokea katika uso wa dunia na namkubali sana kwani kama sio ushupavu wake leo hii Cuba ingekuwa sehemu ya USA.

Kiongozi pekee aliyenusurika majaribio mengi ya kuuwawa. Majaribio 82.
 
Daaa walimuua akiwa dogo sana 27yrs!
 
Inasemekana alimfanyia fitna Camilo Cienfuegos ( Jamaa aliyepo kwenye avatar yangu ) na kumpoteza duniani.

By the way ni mmoja kati ya viongozi makini waliowahi kutokea katika uso wa dunia na namkubali sana kwani kama sio ushupavu wake leo hii Cuba ingekuwa sehemu ya USA.

Kiongozi pekee aliyenusurika majaribio mengi ya kuuwawa. Majaribio 82.

Duh! Jamaa ni kiboko
 
Back
Top Bottom