Makapuku Forum

Makapuku Forum

Je wajua?
Leo tutaangazia viongozi wa wakati wote.
Hawa ni aina ya viongozi waliofanikiwa kuleta mabadiliko makubwa katika jamii inayowazunga na dunia pia kwa kuwa na sifa za kipee katika uongozi wao.
(1) Mahatma Gandhi
Huyu alikuwa kiongozi nchini India na aliyeheshimika sana na aliyeandika nukuu 10 zinazotumiwa sana dunianiView attachment 362535
Nukuu zake
(a)View attachment 362536
Maneno kuntu kabisa kutoka kwa mhindi huyu
 
(2) (a)
sifa kuu ya mandela ni msamaha kwa makaburu waliomfunga na kumtesa kwa miaka ya kutosha...je wew waweza kusamehe waliokukosea?
1467554691457.jpg
 
Unajua nimezoea kula chakula ulichopika leo sjafurahi kapika mwingine..najua utanielewa, hakikisha kesho unapika mapemaaa
Leo pia niliwahi ila nikakuta ndio anafanya mambo nikakubali matokeo
 
(2) (a)
sifa kuu ya mandela ni msamaha kwa makaburu waliomfunga na kumtesa kwa miaka ya kutosha...je wew waweza kusamehe waliokukosea?
View attachment 362547
Ndio. Kusamehe na kusahau, Mi mtu hata akiniudhi vipi naweza kumsamehe bila hata yeye kuniomba msahama
Ili mradi tu nimwambie ukweli hasira zangu ziishe au nikifurahi sana nasamehe...
Life is too short to be anything but happy
 
(3)Martni-Luther
Huyu alikuwa kiongozi wa wanaharakati wa haki za kiraia huko Marekani, aliyeheshimika sana kwa kuendesha harakati zake kwa AMANI. Alikuwa hodari wa misemo iliyotia hamasa ya watu kuendelea kupambana na kufikia hatima za ndoto zao za kuwa huru mbali na ukandamizaji
1467555212060.jpg
 
Ndio. Kusamehe na kusahau, Mi mtu hata akiniudhi vipi naweza kumsamehe bila hata yeye kuniomba msahama
Ili mradi tu nimwambie ukweli hasira zangu ziishe au nikifurahi sana nasamehe...
Life is too short to be anything but happy
Hakika unasema kweli..hili nimethibitisha...basi wewe ni strong..rejea nukuu ya Gadhi
 
Back
Top Bottom