Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Niko mdogo mdogo

Niko mdogo mdogo

Mkuu nime pitia zike nukuu zakoNiko poa, vp mbona uko kimya sana,nimezoea ukionekana tu mbwembwe nyingi
Niko poa mkuu, vp weweOk, vipi uko poa lakini?
Tupo poa kabisaZa jion wakuuu
Mmeshinda adje!!?
Wengine simu zao shidaMkuu nime pitia zike nukuu zako
Poa sana
Sasa uwe una eka na picha pale kama bhana bitoz anavo fanya
So urahisishe kaz kabsa
Kipengele fresh hiko, asante
Asante sana na pia Asante kwa ushauriMkuu nime pitia zike nukuu zako
Poa sana
Sasa uwe una eka na picha pale kama bhana bitoz anavo fanya
So urahisishe kaz kabsa
Kipengele fresh hiko, asante
Niko poa, vp mbona uko kimya sana,nimezoea ukionekana tu mbwembwe nyingi

Sio mbaya ukiendelea kutupia vipicha tukwamapoWengine simu zao shida
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
We bro upo!!?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni ubize tu wa kazi za hapa na pale tu...
Ila now nmerudi![]()
am here![]()
![]()
![]()
Aminia sanaa, nakinukisha namna hiiWe bro upo!!?
Tuko poa kabisaHello
Mko poa????
Kwa hiyo tai hata kama umeweka ukuta ndani anaonaJe wajua?
Tai ni ndege mwenye uwezo wa kuona mbali kushinda ndege wote, na inasadikika kuwa ana uwezo wa kuona mara 4 ya uwezo wa kuona wa binadamuView attachment 361594
(2)Danyang-kushan ndilo daraja refu kuliko yote duniani, liko nchini China, lenye urefu wa maili 102.4 sawa na km 165.
Lilifunguliwa mwaka 2011
![]()
Aminia sanaa, nakinukisha namna hii
uko poa lakini..?![]()
Aaaah(2)Danyang-kushan ndilo daraja refu kuliko yote duniani, liko nchini China, lenye urefu wa maili 102.4 sawa na km 165.
Lilifunguliwa mwaka 2011
![]()
KweliSio mbaya ukiendelea kutupia vipicha tukwamapo