Km misura yaoNumber 3, Bernie na Slavica Ecclestone – USD 1.2 billion
Hawa hata sjui kiliwapata nini yaan
Shida tupuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Waiting......
Uwe unachaji simu mapema lol..
Km vp oa mbuzi hawezi kudai mali zakoHatari.. Mpaka unaogopa kuoa sasa, kijumba chenyewe cha urithi kipo lubambawe huko, talaka ikipita pasu kwa pasu.. Noumah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rahaaa
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Mungu siyo.........
Mbona mkorofi ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatari.. Mpaka unaogopa kuoa sasa, kijumba chenyewe cha urithi kipo lubambawe huko, talaka ikipita pasu kwa pasu.. Noumah
[emoji3]Hahahaaa kweli Mungu hatakaaa awe jambilo au hata szczesny[emoji106]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Km misura yao
.........
Kazi nzuri, asante kwa kutoa muda wako kuimarisha jukwaa, unatupa changamoto ya ...Okey wakuuu
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza
Kama kawa kama dawa
Nawakubali wote humu
Adious ami gooouw
Studion nawaacha kina bitoz waendelee hapa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kazi nzuri, asante kwa kutoa muda wako kuimarisha jukwaa, unatupa changamoto ya ...
Tunaikubali kazi au mchango wa kila member hapa;[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Asante bro, ni kaziii kweli
Nilijuaga simple nnavo anzisha hii segement, hahaha
Ila its gud kuwa family mna enjoy na mna nisapot
Nawakubali woote, nna appriciate kwa kila aliye anzisha segmentTunaikubali kazi au mchango wa kila member hapa;
Magazeti
Michezo
Top 10
Historia
Nukuu
Nawapongeza wabunifu hawa, naamini ck zijazo kila mtu ataleta ubunifu wake hapa
Kila mtu abuni chakeNawakubali woote, nna appriciate kwa kila aliye anzisha segment
Nawashukuru Jiimena na Bitoz ambao ndiyo kama ma role model wangu walio nifanya ni fanye namana na nikaleta ki segment hiki kidogo cha top 10 aka kumi kubwa
Sote ni familia sote tuna pafanya mahala hapa pawe pazuri kuwepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mtu abuni chake
Marufuku kuiga au kuchukua post za wakongwe na kuleta hapa ili kuzuga
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Ubunifu mwingine wa maana kabisaMakapuku muda si mrefu nitawaletea nukuu za viongozi na wanataaluma mbali mbali Duniani
Mzee wa ma-idea, niaje?Segment nzuri ipe jina ya Nukuu ya leo