sourceKuifufua Tanganyika ni kuiua Tanzania, sikubaliani kabisa na suala hili, kwa sifa tu na uroho wa madaraka na huku wakishabikiwa na mazuzu. Maneno hayo yalitamkwa na Rais wa kwanza wa Tanzania, baba wa Taifa mwl Julius kambarage nyerere, yeye pamoja na Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani karume, walikuwa waasisi wa Muungano. Alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
kama dozAsanteni tutaendelea tena kesho
Mkuu nakusalimia...😛😱😀😱
Nakuona unadeka kwa kakako...macho hayo[emoji3] [emoji3][emoji17] [emoji17]
nipo mkuu,harakati vipMkuu nakusalimia...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji115][emoji17] [emoji17]
Nikikuona tu huwa nafuarahi sana kama vile nimeona ile shilingi ya elfu 50 dada angu..
kumbe ni mtu na kakaaNakuona unadeka kwa kakako...macho hayo[emoji3] [emoji3]
Mungu mkubwa sana ndugu yangu...Tukiamka tukiwa na afya tunashukuru sana..nipo mkuu,harakati vip
Chikupendi[emoji17]Nikikuona tu huwa nafuarahi sana kama vile nimeona ile shilingi ya elfu 50 dada angu..
Kaka baya huyo[emoji19]Nakuona unadeka kwa kakako...macho hayo[emoji3] [emoji3]
yaap afya ndo kla ktu,utafanya chchoteMungu mkubwa sana ndugu yangu...Tukiamka tukiwa na afya tunashukuru sana..
atakuwa kakaa tu,siyo kakaKaka baya huyo[emoji19]
Ukiweza kukaa ndio unapata kazi[emoji15]![]()
Interview zingine ni sawa na matusi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
Uhali gani kapuku[emoji4]Kapukuz mamboz
Swalama kapuku..habar za jion mabibi na mabwana
jambo jemaUhali gani kapuku[emoji4]
Swalama kapuku..
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu hata kama haumpendezi mtu.Mkuu haya ni maneno kuntu japo sidhani kama yanawavutia walaji wa habari hii
Kabsaaakumbe ni mtu na kakaa
Kama huwezi kuwafanya mwanga, wafanye wahisi joto lake. Maneno haya yaliwahi kutamkwa na Rais wa 40 wa Marekani, ambaye pia alikuwa muigizaji, Ronald Reagan, alikuwa Rais wa taifa hilo kubwa Duniani Kati ya mwaka 1981 hadi mwaka 1989. Alizaliwa February 23 mwaka 1911 na alifariki Dunia Juni 05,mwaka 2004
Kuifufua Tanganyika ni kuiua Tanzania, sikubaliani kabisa na suala hili, kwa sifa tu na uroho wa madaraka na huku wakishabikiwa na mazuzu. Maneno hayo yalitamkwa na Rais wa kwanza wa Tanzania, baba wa Taifa mwl Julius kambarage nyerere, yeye pamoja na Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani karume, walikuwa waasisi wa Muungano. Alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999