Makapuku Forum

Makapuku Forum

3ec54a1617ba1c734a84dc0c0f3cba97.jpg

Interview zingine ni sawa na matusi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
Hapo unatakiwa uchukue hizo vitu hapo uunganishe kiti kitokee
Hao ndio IKEA
 
WANAUME WOTE UNAOKUTANA NAO WAMESHAOA? JINSI YA KUEPUKA KUWA MCHEPUKO.

Mara nyingi asilimia kubwa ya wanawake hupenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini baadae wanapotambua kwamba mwanaume huyo ameshaoa hushangaa sana, huumia na kusema waliwaamini kuwa wako single na kwamba wanaume wote ni mbwa tu.

Wanaume sio mbwa au paka shume, ni nyie wenyewe ndio mnashindwa kuwaelewa na hamtaki kufanya uchunguzi. Mlishaambiwa kwamba nyuma ya mwanaume mwenye MALI na MAFANIKIO kuna mwanamke. Na wewe unataka mwanaume aliyefanikiwa. Unategemea nini?

Kama utakutana na mwanaume ambae ni handsome, ana mali, anaendesha gari nzuri, yuko vizuri kiuchumi, basi huyo sio mumeo mtarajiwa, huyo ni mume wa mtu fulani kwa muda huo. Ni agharabu sana kukutana na mwanaume anayejiweza halafu akawa single, either uwe shareholder au unyang'anye share zote za mwanamke mwenzako kitu ambacho sio busara hata kidogo.

Mume wako mtarajiwa yupo anahangaika kutoka na maisha, anapigania ndoto zake. Huenda yupo shambani, yupo dukani, anapiga kitabu chuo, au yupo anabeti. Kimsingi yupo anapigania kuchomoka kimaisha. Anakusubiri tu wewe umpe support na back up ya kutosha.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu haya ni maneno kuntu japo sidhani kama yanawavutia walaji wa habari hii
 
Back
Top Bottom