Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 5, Nauru
37c42f4ededcff61e4a9ec6c4bf8ce9f.jpg


Hawa wane focus kuwa na polis wengi na kikosi cha upelelezi kikubwa
Ila hawana majeshi yoyote ya ulinzi
Wametishaaa[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Number 4,
b38f6f51dab3d5b83cc3187f0e2d3f7d.jpg


Hawa mwanzo hawakuwa hata na jeshi rasmi la polisi bali walitegemea vikundi vya ulinzi binafsi
Mpaka ilipo tokea migogoro ya ki kabila, ili bidi majeshi ya new zealand , singapore na Australia ndo ya katulize vurugu hzo
Baada ya hapo iliundwa polisi tuu
Ila jeshi la ulinzi bado hawana
Jina la haka kanchi je??
 
Namba 3, Liechtenstein
b883e9bcefacf6f61d67bae205141ff2.jpg
baada ya kuona nchi inaingia gharama kubwa kuwa na jeshi wali livunja mnamo mwaka 1968, wametunga sheria ya kulikusanya jeshi kama ikitokea vita au uvamizi , vitu ambavo havijawahi tokea

Hawa hawana hata polisi, wana kikosi kaz chenye silaha ndogo ndogo, na kikos cha upelelezi tuu
Kwa ajili ya kuendeleza amani ya jamii
Panafaa kabisa kuishi
 
Back
Top Bottom