Makapuku Forum

Makapuku Forum

5bc214a41aca2cfdfa9a072df40c70f5.jpg
 
Huu uzi unaongelea nini? Na mnapata faida zipi naona unazidi kuongeza namba ya ma meseji.
 
Number 6, Vatican City
36f2ad034b4f100967e397bebc868115.jpg


Huwa wana lindwa na Swis guards ambao ki uhakika wao kazibyao ni ulinzi katka Holy Sea jiran na Rome
Ki ujumla inaaminika Mungu ndo ana palinda hapa mahala kwa hiyo
Hata hawajawahi kusain mkataba wa kulindwa na nchi yoyote
Chezea Vatcan
 
Back
Top Bottom